Polisi mkoani Geita wanamshikiliwa kijana Samson Petro (18) mkazi wa katoro wilayani Geita mkoani Geita kwa tuhuma za kuteka watoto katika mikoa ya Arusha na Geita.
Kijana huyo amekamatwa usiku wa September 2, saa mbili usiku katika nyumba ya kulala wageni ya shilungulu iliyopo mji mdogo wa katoro.
Kamanda wa polisi mkoani Geita, Mponjali Mwabulambo amethibitisha kukamatwa kwa kijana huyo na kusema polisi wanaendelea na uchunguzi na utakapokamilika atafikishwa mahakamani.
Sunday, 3 September 2017
Home
Unlabelled
Mtekaji wa watoto Arusha, akamatwa mkoani Geita
Mtekaji wa watoto Arusha, akamatwa mkoani Geita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...
Kazi nzuri
ReplyDelete