Mchezo wa kirafiki kati ya wekundu wa Msimbazi, Simba SC dhidi ya timu ya Hard Rock kutoka visiwani Pemba umesogezwa mbele na sasa utapigwa Jumapili ya Septemba 3.
Awali mchezo huo ulipangwa kupigwa leo Septemba Mosi katika dimba la Uhuru lakini imeamua kuusogeza mbele ili kuwapisha Botswana ambao leo wanautumia uwanja huo kwa ajili ya mazoezi yao ya mwisho kabla ya kuivaa Stars Jumamosi.
klabu ya Simba ambayo inajiandaa na mchezo wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Septemba 6, imewaomba radhi mashibiki wa kandanda nchini kutokana na hatua hiyo
Friday, 1 September 2017
Home
Unlabelled
Simba vs Hard Rock yasongezwa mbele
Simba vs Hard Rock yasongezwa mbele
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe Godbless Lema amesema kuwa kitu cha msingi ambacho wananchi wanatakiwa wajue ni kwamba Chama cha Mapinduzi (...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...
No comments:
Post a Comment