MC Pili pili apata ajali ya gari akiwa mkoani Shinyanga - KULUNZI FIKRA

Tuesday, 12 September 2017

MC Pili pili apata ajali ya gari akiwa mkoani Shinyanga

 Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa mpiga picha wake ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata ajali, chanzo cha ajali hiyo ni dereva alikuwa anamkwepa mtoto aliyekuwa anaeendesha baisikeli, Mc Pilipili amekimbizwa jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment

Popular