Lowasa: Uchaguzi wa Kenya ulikuwa huru na haki, jubilee waliongoza kwenye magavana na maseneta. - KULUNZI FIKRA

Friday, 1 September 2017

Lowasa: Uchaguzi wa Kenya ulikuwa huru na haki, jubilee waliongoza kwenye magavana na maseneta.

 Edward Lowassa amesema anaamini uchaguzi wa Kenya ulikuwa huru na haki, hata waangalizi wa uchaguzi kutoka wawakilishi 5, John Kerry, EAC, SADCNA na wengine walisema uchaguzi huo ulikuwa huru na haki, pia kwenye uchaguzi wa maseneta, magavana na wabunge Jubilee wameongoza lakini uamuzi wa mahakama kuu lazima uheshimiwe

Akitoa sababu ya kumuunga mkono Uhuru alisema anamuunga mkono kwa jinsi anavyokubali ushirikiano wa kimataifa na demokrasia, katika uongozi wake demokrasia inalindwa sana

Pia uongozi wake ni uongozi wenye malengo na ameweza kuiletea Kenya maendeleo makubwa licha ya kutoka kwenye vita,na kama Uhuru akimualika Kenya ataenda kumsaidia tena.

1 comment:

Popular