Rais Dr Magufuli amekasirishwa sana na wasomi wetu ambao wamesaini mikataba kati ya Serikali na wawekezaji tofauti huku wakijua kuwa mikataba hiyo italitafuna na kulinyonya Taifa kutokana na vipengele vilivyowekwa ndani ya hiyo mikataba.
Rais ameongea hayo alipokuwa anaongea na vijana ndani ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere Kigamboni na kutokubali hayo yatokee ndani ya utawala wake.
Rais Dr Magufuli alitoa mfano wa mkataba wa nguvu za Umeme kuhusu malipo ya capacity charges ambayo yanalipwa kiunyonyaji toka kwa watumiaji Umeme kwenda kwa mwekezaji.
Saturday, 26 August 2017
Home
Unlabelled
Rais Dkt Magufuli amekasirishwa na wasomi wetu waliosaini mikataba ya kimataifa inayolinyonya Taifa
Rais Dkt Magufuli amekasirishwa na wasomi wetu waliosaini mikataba ya kimataifa inayolinyonya Taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...
No comments:
Post a Comment