Mwenyekiti Uvccm Arusha akamatwa tuhuma za kughushi kitambulisho cha usalama wa Taifa - KULUNZI FIKRA

Thursday, 10 August 2017

Mwenyekiti Uvccm Arusha akamatwa tuhuma za kughushi kitambulisho cha usalama wa Taifa



Jeshi la Polisi limesema wakati wowote kuanzia sas litamfikisha Mahakamani aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai Sabaya baada ya kukamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili.

Kamanda wa Polisi Arusha Charles Mkumbo amesema Sabaya anashikiliwa kwa kosa alilolitenda awali ambapo Polisi waliliondosha shauri hilo Mahakani kwa kuwa upelelezi ulikuwa haujakamilika na sasa umeshakamilika.

No comments:

Post a Comment

Popular