Cuf yatinga Mahakama kuu kuwashitaki AG,NEC,Lipumba na wengine - KULUNZI FIKRA

Thursday, 10 August 2017

Cuf yatinga Mahakama kuu kuwashitaki AG,NEC,Lipumba na wengine



Chama cha CUF(Upande wa Maalim Seif) leo kimefungua shauri la madai kati ya wabunge wake 8 na madiwani 2 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi(NEC), Profesa Lipumba na wengine 10.

Kesi hiyo inatarajiwa kuanza kuunguruma ifikapo tarehe 15 mwezi Agosti mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Popular