Rais Magufuri amtofautisha na wapinzani wengine - KULUNZI FIKRA

Saturday, 22 July 2017

Rais Magufuri amtofautisha na wapinzani wengine

Rais Magufuri amewasili kwenye chanzo cha mradi mkubwa wa maji na amezindua mradi huo utakaozalisha liya 42 milioni kwa siku,utakaomalizika Novemba 30 mwaka huu.
Amemsifu mbunge wa kigoma mjini Zitto kabwe kwa kushirikiana na serikali kuleta maendeleo, akiasema zitto ni tofauti na wanasiasa wengine wa upinzani.
Pia Rais Magufuri amehaidi kushughulikia tatizo la wafanyakazi  wa meli ya MV liemba ,ambao inadaiwa wamekaa miezi 19 bila kulipwa mishahara.
Amemhagiza mkuu wa mkoa wa kigoma,Brigedia jenerali mstaafu Emmanuel Maganga kufuatilia idadi ya watumishi ambao hawajalipwa mishahara yao.

No comments:

Post a Comment

Popular