Mtoto wa miaka miaka 11 anadaiwa kubakwa na kisha kunyongwa - KULUNZI FIKRA

Tuesday, 25 July 2017

Mtoto wa miaka miaka 11 anadaiwa kubakwa na kisha kunyongwa

Mtoto wa miaka 11(jina linahifadhiwa) amekutwa amekufa katika mazingira ya kuyayanisha hukiu kukiwa na madai kwamba alibakwa kisha kisha kunyongwa .
Mtoto huyo ni pekee kwa wazazi wake,pia ni mwanafunzi wa shule ya msingi Atlas ya jijini Dar-es-salaam.
Kwa mujibu wa wanafamilia hiyo, mwili wa mtoto huyo ulikuywa ukiwa umepiga magoti huku shingo yake ikining'inia kwenye kitanzi kinachodaiwa kiliwekwa kama mtengo wa wa kumkamata paka.
Mama wa marehemu Ni Agnes Msigala,akisimulia tukio hilo amesema wakati hayo yanatokea hakuwepo nyumbani na kwamba bado hawajapewa taarifa rasmi za vipimo.
"Nilipelekwa wodini kumuona mwanangu,nikamuangalia usoni kweli ni Nora,kuna nesi aliniambia wanahisi alibakwa na kutokana na jinsi sehemu zake za siri zilivyokuw,alimfunua kutaka kunionyesha sikuweza kuendelea kumwangalia", amesema na kuongeza.
" Awali nilipigiwa simu kwamba mwanangu ameanguka,nilipofika pale hospitality palestina nikachanganyikiwa baada ya kuambiwa ni ni kazi mwanangu ameshafariki yupo wodini nddipo nikaenda kumuona.
Amesema alipoondoka nyumbani asubuhi ya Siku ya tukio alimuacha mwanae akiwa mzima wa afya njema,akiwa na wajomba zake wawili.
"Nimeambiwa wakati wa tukio walibaki walibaki wawili mdogo wangu wa kiume ambaye tumezaliwa gumbo mmoja na ndiye kitinda mimba watu ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi"" amesema.

No comments:

Post a Comment

Popular