Kafulila kuhamia ccm, kupokelewa kesho kutwa Dodoma - KULUNZI FIKRA

Monday, 24 July 2017

Kafulila kuhamia ccm, kupokelewa kesho kutwa Dodoma

Baada ya kupokea pongezi Jana kutoa kwa Mh Rais Magufuri ,Mh Kafulila amemaliza mazungumzo na viongozi wa juu wa ccm na keshokutwa anatarajia kupokelewa Dodoma.
Kafulila katika maongezi na viongozi hao wa ccm kasema haoni sababu ya kuendelea kubaki chadema,chama hiki kimepoteza muelekeo badala yake ameamua kumuunga mkono Mh Rais Magufuri pamoja na chama chake kwa ujumla.
Kwani kwa kipindi kifupi Mh Rais Magufuri kaonyesha uzalendo ambao haujawai kutokea kwa zaidi ya miaka 30.
Pia kwa kipindi cha wiki mmoja iliyopita katibu wa itikadi na uenezi wa ccm Ndugu Polepole akisema kuwa kuna vigogo kutoka chadema watapokelewa na ccm kuanzia wiki hii.

No comments:

Post a Comment

Popular