Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi amemtembelea mbunge wa Singida mashariki (chadema) na Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Mhe Tundu Lissu aliyelazwa hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
Rais Mwinyi akiambatana na ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, wamemtembelea Mhe Tundu Lissu hospitalini hapo alipolazwa baada ya kuuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma.
Rais Mwinyi anakuwa miongoni wa viongozi wa juu wa serikali waliokwenda kutembelea Mhe Tundu Lissu, Pia hivi karibuni makamu wa Rais Mhe Samoa Suluhu Hassan naye alifika hospitalini

No comments:
Post a Comment