Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Manyara amefariki. - KULUNZI FIKRA

Wednesday, 6 December 2017

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Manyara amefariki.

 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Dkt Joel Bendera  pia amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo.

No comments:

Post a Comment

Popular