Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli amemteua Profesa Isaya Jayambo Jairo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Waasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).
Taarifa iliyotolewa na katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Profesa Jairo umeanza Leo Tarehe 11,April 2018.
Profesa Jairo ni mkuu wa chuo cha kodi (ITA) na ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi chake cha kwanza kumalizika.

No comments:
Post a Comment