Mahakama imemuachia huru Kubenea na kukamatwa tena na Jeshi la polisi. - KULUNZI FIKRA

Friday, 19 January 2018

Mahakama imemuachia huru Kubenea na kukamatwa tena na Jeshi la polisi.

 Mahakama ya Wilaya mapema leo imemuachia huru Mbunge wa Ubungo,Mhe  Saed Kubenea(CHADEMA).

Hata hivyo Jeshi la Polisi limemkamata tena,Yadaiwa atafunguliwa mashtaka upya.

Mbunge huyo kabla ya kuachiwa leo alikuwa akituhumiwa kwa kumshambulia kwa mateke, ngumi na makofi, Juliana Shonza(Mbunge wa Viti Maalum) ambaye kwasasa ni Naibu Waziri

No comments:

Post a Comment

Popular