Ni hivi juzi msemaji wa serikali alifafanua taarifa iliyotolewa na IMF na kusema kuwa imeonyesha Tanzania ipo vizuri na ni daraja la juu kwenye perfomance ya uchumi na kuwataka wanasiasa ambao vyuma vimekaza waache kupotosha wananchi.
Mbuge wa kigoma mjini, Mhe Zitto Kabwe ameulizwa swali na waandishi wa habari kwenye mkutano wake Jana na kusema msemaji wa serikali hafahamu lolote kuhusu uchumi na ile taarifa ya IMF hajaielewa.
Amesema taarifa za IMF hazisomwi na mtu yoyote na zikaeleweka, kama sio mchumi na au umepitia mafunzo kuhusu uchumi huwezi kuelewa.
Mhe Zitto amesema taarifa zile zinasema IMF imesema viashiria vya uchumi vinaonyesha uchumi unasinyaa.
Pia wamesema bajeti ya serikali haina credibility na huwa haitekelezeki.
Pia wameiambia serikali kuangalia upya vyanzo vyake vya takwimu za kiuchumi.

No comments:
Post a Comment