Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amehojiwa kwa saa moja katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 11.
Ngeleja ambaye pia amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini wa awamu ya nne, aliwasili katika ofisi hiyo saa nne asubuhi akiwa peke yake ambapo alikutana na DCI saa tano na kuondoka saa sita na nusu mchana bila kusema alichohojiwa.
Hatua ya Ngeleja kufika ofisini hapo ni kuitikia wito wa Mkuu wa Jeshi La Polisi (IGP), Simon Sirro ambaye aliwataka watuhumiwa waliotajwa katika ripoti ya Tanzanite na Almasi kuripoti kwenye ofisi hiyo kwa ajili ya mahojiano wakati uchunguzi ukiendelea
Monday, 11 September 2017
Home
Unlabelled
Waziri wa zamani, William Ngeleja aitwa na kuhojiwa na ofisi ya mkurugenzi wa makosa ya jinai( ( DCI)
Waziri wa zamani, William Ngeleja aitwa na kuhojiwa na ofisi ya mkurugenzi wa makosa ya jinai( ( DCI)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Mbunge wa Jimbo la Rombo (Chadema), Mhe Joseph Selasini amewaonya viongozi wa kisiasa kutolitumia Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzani...
-
Sisi Maakofu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, Tulipokutana katika mkutano wetu wa kawaida hapa Dar es salaam, tarehe 8-9 septem...

No comments:
Post a Comment