Akihojiwa na idhaa ya sauti ya america (VOA) Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Salum Mwalimu ametanabaisha maadui wakubwa wa Lissu na alishatolea taarifa polisi lakini hakuna kilichofanyika.
Mwalimu kasema hata ikiwa ni usiku akikutana na majambazi au vibaka wakijua ni Lissu hawawezi mfanya chochote atapita salama na wanaweza kumpa ulinzi hadi atakakofika.
Mara kadhaa viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi wamekuwa wakimtolea kauli za vitisho na wengine kifikia kuomba ridhaa ya kumdhuru au kumuua lakini kwakiwa ni wana ccm hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na vyombo vya usalama.
Amekumbushia habari ya hivi karibuni kwa gari dogo lililokuwa likimfatilia dar lakini hakuna hatua zozote zilizochujuliwa wala hata kutolea ufafanuzi na polisi.
Amesema iko wazi amekuwa mwiba kwa serikali na chama tawala na amekamatwa mara nyingi na kufunguliwa kesi nyingi mwisho wa siku huachiwa.
Na kesi nyingi ni dhidi ya serikali ya ccm na liko wazi adui mkubwa wa Lissu ni serikali na akiwa akitetea maslai ya walio wengi, na hawapendi kusikia ukweli.
Kahoji kama waziri alitolewa bastola mchana na anajulikana mpaka leo hajakamatwa tusitarajie chochote katika hili la Lissu.
Imma advocate walionwa wakasema hawakuwa wao ila kuna waliovalia sare za polisi ila wako kimya mpka leo.
Wao kama chama hawana jeshi ila taarifa za watu wasio julikana ishakuwa kama habari za uchochezi hutokea upande usio wa serikali na ccm tu ndo kauli hizo hutolewa
Thursday, 7 September 2017
Home
Unlabelled
Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa
Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri nchini (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo amefunguka na kusema kuwa kama taifa linahitaji maendeleo...
-
Mbunge wa Jimbo la Temeke (CUF), Mhe Abdallah Mtolea amefunguka na kuweka wazi kuwa mgogoro uliopo ndani ya Chama chake umekuwa ukiathir...
-
Vat leaching gold processing method is the recently technology that practised in developing nations. In Tanzania vat leaching method w...
-
Serikali imekiri kuwepo kwa changamoto kubwa katika uhitaji wa uzoefu katika nafasi za kazi(work Experience) kwa vijana wa Tanzania. ...
No comments:
Post a Comment