Rais Magufuli aviagiza vyombo vya dola kuwasaka waliompiga risasi Tundu Lissu. - KULUNZI FIKRA

Thursday, 7 September 2017

Rais Magufuli aviagiza vyombo vya dola kuwasaka waliompiga risasi Tundu Lissu.

 
 Rais John Pombe Magufuli, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwasaka wahusika wa tukio la kumpiga risasi Mbunge Tundu Lissu, leo Alhamisi miji Dodoma.

Rais Magufuli ametoa agizo hilo, kupitia ukurasa wake wa Tweet na kueleza kupokea kwake kwa mshtuko taarifa hizo na kumtakia apone haraka.

No comments:

Post a Comment

Popular