Aliyekuwa Mgombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Hashimu Rungwe anashikiliwa na polisi kwa siku nne sasa.
Rungwe ambaye ni mwenyekiti wa chama cha Chauma anashikiliwa katika kituo kikuu cha cha polisi kanda maalumya Dar es salaam.
Mwanasiasa huyo anashikiliwa kwa kosa la kughushi nyaraka.
Kamanda wa polisi kwa kanda maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amedhibitisha hayo leo septemba 5 kuwa Rungwe anashikiliwa kwa siku nne .
Hata hivyo, Kamanda Mambosasa hakutaka kuingia kwa undani kuhusu suala hilo alisema ana taarifa za kutosha.
Tuesday, 5 September 2017
Home
Unlabelled
Hashim Rungwe anashikiliwa na polisi.
Hashim Rungwe anashikiliwa na polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment