Edward Lowasa na mzee Mwinyi wakutana kwenye msiba wa sheikh mkuu, Kinana na Ghalib Bilal pia wahudhuria - KULUNZI FIKRA

Tuesday, 19 September 2017

Edward Lowasa na mzee Mwinyi wakutana kwenye msiba wa sheikh mkuu, Kinana na Ghalib Bilal pia wahudhuria

 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania kwenye awamu ya nne, Edward Lowassa walipohudhuria msiba wa kaka yake Mufti mkuu wa Tanzania, Sheikh Saad Zuber.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu wa Mstaafu, Mhe. Edward Lowassa, pamoja na aliyekuwa makamu wa Rais kwenye serikali ya awamu ya nne, Mohammed Bilal pamoja na katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakiwa nyumbani kwa Shehe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakary Zubeiry bin Ally, Kinondoni, Dar es Salaam, kushiriki msiba wa kaka yake Mufti Zubeir, aitwae Sheikh Saad Zuber, uliotokea jana jioni.​
 

No comments:

Post a Comment

Popular