Chama cha Mapinduzi (CCM) yalaani Tundu Lissu kupigwa risasi - KULUNZI FIKRA

Thursday, 7 September 2017

Chama cha Mapinduzi (CCM) yalaani Tundu Lissu kupigwa risasi

Chama cha mapinduzi ( CCM) kimepokea kwa mshtuko kubwa wa taarifa za kuchambuliwa kwa Mbunge wa Singida mashariki Ndugu Tundu Lissu leo mchana.

Chama cha mapinduzi ( CCM) kinalaani tukio hilo la kikatili na lisilo na utu na tunalitaka jeshi la polisi kuwatafuta, kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kuchukua hatua Kali za kisheria kwa wote waliohusika na kitendo hiki cha kidhalimu.

Uongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) unamwombea Ndugu Lissu kupona haraka na afya njema ili aendelee na majukumu yake.

No comments:

Post a Comment

Popular