Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.
Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.
Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesema kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.
Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.
Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,
Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)
Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)
Das wa arusha (David Mwakiposa)
Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)
Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha
Saturday, 2 September 2017
Home
Unlabelled
Arusha: Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia CCM
Arusha: Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
No comments:
Post a Comment