Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu,Frederick Sumaye amesema kunyang'anywa mashamba yake si sababu ya yeye kufikiria kurudi CCM.
"Kunyang'anywa mashamba yangu najua ni uamuzi wa juu haunidhoofishi nifikirie kurudi CCM"
Sumaye amesema mashamba yaliyofutwa na serikali yalikuwa yanalipiwa kodi na yalikuwa yanamilikiwa kisheria.
"Wanataka nirudi CCM, Mimi sitaki kurudi CCM, kwanini wanalazimisha? Nilisema sababu ya kuondoka huko,waseme wazi sababu za kutafuta ni za kisiasa tu"' amesema Sumaye leo katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Tuesday, 22 August 2017
Home
Unlabelled
Sumaye afunguka kuhusu mashamba yake
Sumaye afunguka kuhusu mashamba yake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment