Mbunge wa Bunda mjini, Esther Bulaya amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kufikishwa kwenye hospitali hiyo akitokea hospitali ya Bugando ,Mwanza.
Taarifa iliyotolewa leo na afisa husiano wa Muhimbili, John Stephen alielezea kuwa Bulaya alifikishwa hospitalini hapo Jana usiku, "Tulimpokea Jana usiku" alieleza kwa kifupi.
Mbunge wa kawe Halima Mdee amedhibitisha pia kulazwa mbunge huyo ( MNH)
"Amelazwa private, sewahaji wodi namba 18", alisema Halima Mdee.
Tuesday, 22 August 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...
No comments:
Post a Comment