Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema kwamba uelewa wa watu katika kutambua namna jeshi hilo linavyofanya kazi zake ni mdogo kutokana na wanapo wakamata watu kwa tuhuma za makosa mbalimbali kama za kugushi nyaraka ama uchochezi wa jambo fulani huonekana kama wanawaonea hivyo ni vema wakaelewa kwamba wao kama jeshi wanafanya kazi kwa taratibu za kisheria na kisha kuchunguza makosa hayo na wakishabaini kwamba mtu hana kosa basi taratibu zingine zinafuata.
Akizungumza na ITV IGP Sirro amesema wakati watu wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali wanapo fikishwa ndani ya jeshi hilo, jeshi hupata taarifa za kiitelijensia za watu hao ambazo zinahitaji upelelezi zaidi hivyo inakuwa vigumu kumwachia mtu anayetuhumiwa kwa makosa fulani halafu likaibuka lingine wakati wakiwa wamemshikilia.
Tuesday, 22 August 2017
Home
Unlabelled
IGP Simon Sirro: watu wanauelewa mdogo wa kujua jinsi jeshi la polisi linavyofanya kazi
IGP Simon Sirro: watu wanauelewa mdogo wa kujua jinsi jeshi la polisi linavyofanya kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...
No comments:
Post a Comment