Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu - KULUNZI FIKRA

Friday, 11 August 2017

Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria wa Fatima kutoka kwa Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Popular