Mameya wawili wa chadema wamwangukia Magufuli. - KULUNZI FIKRA

Tuesday, 1 August 2017

Mameya wawili wa chadema wamwangukia Magufuli.

Mameya wawili wa chadema wamepanga kumwangukia Rais John Magufuli wakitaka aingilie kati michakato ya maendeleo katika maeneo yao ikamilike mapema.
Meya wa manispaa ya Moshi,Raymond Mbaya ametumwa na baraza la madiwani la manispaa hiyokwenda kuonana na Rais Magufuli ili mchakato wa kufanya mji wa Moshi kuwa jiji ukamilike .
Naye meya wa ubungo, Boniface Jacob amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati mchakato wa mradi wa uboreshaji wa jiji la dar es salaam (DMDP) kwa madai kuwa baadhi ya viongozi wanakwamisha utekelezaji wake

No comments:

Post a Comment

Popular