Mahakama imefuta kesi ya Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha - KULUNZI FIKRA

Wednesday, 30 August 2017

Mahakama imefuta kesi ya Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha

 Mahakama imeifuta kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, Ole Sabaya. Alikuwa anatuhumiwa kujifanya Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa, (TISS.)

Kesi hiyo imefutwa baada ya Jamhuri kusema haina nia ya kuendelea nayo.

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndugu, Lengai Ole Sabaya alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na makosa mawili ya kughushi nyaraka za serikali (vitambulisho vya usalama wa taifa) na kuzitumia kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu (utapeli).

No comments:

Post a Comment

Popular