Lowasa , Kinana wagongana msiba wa bilionea Mrema - KULUNZI FIKRA

Wednesday, 9 August 2017

Lowasa , Kinana wagongana msiba wa bilionea Mrema


 Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa kwenye mazishi ya aliyekuwa Bilionea wa jiji la Arusha,Marehemu Mrema.Pichani kulia ni Mama Regina Lowassa

Bilionea Mrema ndiye alikuwa mmiliki wa Impala, Ngurdoto Hotel na Naura Spring hotel

No comments:

Post a Comment

Popular