Bulaya akamatwa na polisi Tarime - KULUNZI FIKRA

Saturday, 19 August 2017

Bulaya akamatwa na polisi Tarime

Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Esther Bulaya amekamatwa na jeshi la polisi akiwa katika hotel ya kifa best point wilayani Tarime akidaiwa kujiandaa kutaka kufanya mkusanyiko kinyume na sheria.
Kamanda wa polisi Tarime/ Rorya kamishna msaidizi mwandamizi Henry Mwaibambo amesema wabunge Bulaya na John Heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa mbunge wa jimbo la Tarime.

No comments:

Post a Comment

Popular