ACCOUNT ZOTE ZA CUF ZIMEFUNGULIWA NA BODI MPYA YA CHAMA. - KULUNZI FIKRA

Thursday, 17 August 2017

ACCOUNT ZOTE ZA CUF ZIMEFUNGULIWA NA BODI MPYA YA CHAMA.



NI KATIBU WA BODI MHE THOMAS MALIMA KWA NIABA YA BODI AMEFUNGUA ACCOUNT ZOTE ZA CHAMA CHA CUF.

Ni .kupitia Katibu wa bodi ya wadhamini ya CUF Mh.Thomas Malima amefanikiwa kufungua account zote za chama zilizozuiliwa kwa muda na Katibu mkuu wa CUF Nd. Maalim Seif Sharif Hamad.

Kwa hiyo kuanzia sasa viongozi wa Wilaya wa CUF waende katika matawi ya benki ya NMB kufanya mihamala ya pesa ili waweze kufanya mambo muhimu katika Wilaya zao.

No comments:

Post a Comment

Popular