Diwani viti maalum (CHADEMA) Manda Ngoitika wilayani Ngorongoro amejiuzulu nafasi yake na kudai hana sababu ya kuwa mpinzani ilhali yote aliyoyataka yanafanywa na serikali ya awamu ya 5.
Manda ambaye pia ni mwanaharakati mtetezi wa wanawake amesema licha ya sasa kuunga mkono Serikali chini ya Rais Magufuli, atabaki kuwa mwanaharakati wa wanawake na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment