Chama cha ACT-wazalendo kimemtaka waziri wa kilimo ,Dkt Charles Tizeba kujiuzulu kwa kushindwa kuwapelekea wakulima wa korosho pembejeo kama alivyoahidi .
Serikali iliahidi kuwapa wakulima wa korosho dawa ya kuua wadudu sulphur bure ili waongeze uzalishaji.
Akizungumza Leo jumapili,katibu wa Itikadi ,mawasiliano ya umma na uenezi wa chama hicho,Ado Shaibu amesema kwa sasa kuna upungufu wa pembejeo hiyo.
Amesema serikali iliahidi kupeleka tani 5000 za sulphur lakini imepeleka tani 1500 tu,amesema matokeo yake wafanyabiashara wanauza sulphur had I kufika sh 80,0000 kwa mfuko mmoja badala ya sh 30,000.
Sunday, 30 July 2017
Home
Unlabelled
ACT yamtaka waziri wa kilimo ajiuzuru
ACT yamtaka waziri wa kilimo ajiuzuru
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri nchini (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo amefunguka na kusema kuwa kama taifa linahitaji maendeleo...
-
Mbunge wa Jimbo la Temeke (CUF), Mhe Abdallah Mtolea amefunguka na kuweka wazi kuwa mgogoro uliopo ndani ya Chama chake umekuwa ukiathir...
-
Vat leaching gold processing method is the recently technology that practised in developing nations. In Tanzania vat leaching method w...
-
Serikali imekiri kuwepo kwa changamoto kubwa katika uhitaji wa uzoefu katika nafasi za kazi(work Experience) kwa vijana wa Tanzania. ...
No comments:
Post a Comment