Mkutano Mkuu Maalum wa 9 wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) ukiendelea katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.
Shaka: UVCCM imeendelea kuimarika zaidi, wanachama wamezidi kuongezeka kutoka zaidi ya Wananchama 800,000 hadi kufikia zaidi ya Wanachama 1,000,000"
Shaka: UVCCM imetoa takribani asilimia 75 ya Watu kwenda kufanya kazi kwenye jumuiya nyingine.
Shaka: Katika kipindi cha miaka 5 kuanzia 2012 hadi sasa UVCCM ngazi ya Taifa imefanya ziara kwenye mikoa yote nchini.
Shaka: UVCCM imeendelea kushiriki na kuwa chachu ya ushindi kwenye chaguzi mbalimbali za Serikali za mitaa 2019 na ule uchaguzi mkuu wa 2015 ambapo CCM iliendelea kushika dola.
Shaka: Hata kwenye chaguzi ndogo UVCCM imeshiriki vilivyo na kuhakikisha CCM kinashinda kwa kishindo
Shaka: UVCCM ilianzisha Magufuli Club ambayo ilileta mafanikio makubwa kwenye uchaguzi Mkuu.
Shaka: UVCCM ina hakikisha ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 inafanikiwa.
Shaka: Jumuiya imeendelea kufanya uhakiki wa mali zake, kununua magari mawili mapya, kuruhusu jumuiya ifanyiwe ukaguzi wa mahesabu
Shaka: Mheshimiwa Mwenyekiti CCM Dk. Magufuli tunaomba utupatie eneo katika mkoa wa Dodoma ili Jumuiya ya Vijana tufanye uwekezaji wa Kisasa
Mboni ; Tunakushukuru sana Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Dk. Magufuli kwa kufanikisha vilivyo Mkutano huu Mkuu wa Tisa (9)
Mboni: Tunakushukuru Magufuli kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya uchaguzi unaofanya haswa unapolinda rasilimali zetu. Hakika wewe ni Mzalendo"
Mboni: Sisi Vijana tunakuunga mkono sana Mheshimiwa Rais Dk. Magufuli kwa kila hatua unayopiga tupo pamoja nawe
Mboni: Ninawashukuru Watu wote waliofanikisha mafanikio ya uongozi wangu kwa kipindi cha miaka mitano
Mtulia: Nashukuru kwa kupata fursa hii ya kujiunga na CCM
Mtulia: Nimeacha kila kitu na kuamua kujiunga CCM kutokana na mapenzi yangu binafsi kwa CCM na kwa matendo mazuri ya utendaji unaofanywa na Dk, Magufuli
Mtulia: UVCCM iendelee kuwa mkombozi na mlezi wa vijana na makundi yoyte ya vijana nchini
Moses Machali: Nimeamua mimi na wenzangu kujiunga CCM ilipo timu ya ushindi
Moses Machali: Siasa zimehamia mitandaoni. CCM tulikuwa tumelala, nashauri tuamke! Vyombo vya Habari vinaweza kufanya mazuri kuonekana mabaya na mabaya kuonekana mazuri. Twende mitandaoni tukapambane na wapinzani wetu!
Machali; Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Magufuli usikatishwe moyo na wala wanachama msikatishwe tamaa mnaposikia tumenunulia, wanaosema hivyo ni wadhaifu sana.
David Kafulila: Nimeamua kuhamia CCM kwa sababu Ajenda ya Ufisadi imehama. Sasa kuna utu na usawa nchini.
David Kafulila: Tanzania ya sasa imebadilika. Tunashuhudia matajiri wakiwa lazwa mahabusu. Hii imepelekea kiwango cha ufisadi kupungua nchini.
David Kafulila: Dhamira ya Dk. Magufuli haina mashaka, Uzalendo wake ni wa kuigwa mfano.
Albert Msando: Ni wajibu wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM kuchagua viongozi walio wasafi na wachukia ufisadi na rushwa. Msichague mtu sababu mnatoka ukanda mmoja!
Albert Msando: Vijana ni wajibu wenu kujiandaa kujibu hoja za wapinzani. Na ili muweze kujibu hoja ni lazima muwe na maarifa ya kutosha kuhusu anachokifanya Rais wetu na Serikali kwa ujumla
Albert Msando: Tujenge UVCCM inayoweza kujibu hoja kwa hoja. Nimeona mmeandika kuwa kuna wanachama wa UVCCM milioni 6; lakini idadi iliyoandikwa kwenye kitabu kingine mnaonyesha ni wanachama 1,547,000! Tusimdanganye Rais..
Patrobas Katambi: Tusiruhusu watu wengine kutumia nafasi nyingine za kidemokrasia kuvuruga amani ya nchi yetu. Nilipokuwa CHADEMA, niligundua yaliyokuwa CCM ya zamani yamehamia CHADEMA!
Patrobas Katambi: Hivi, viongozi wa upinzani wakipewa nchi nani wanaweza kuunda serikali? Kama wanashindwa kusimamia bajeti ya msiba, wataweza kusimamia bajeti ya Taifa?

Patrobas Katambi: Nikitazama Katiba ya CCM na CHADEMA nimeona kuna tofauti chama nilichokipigania kinageuka misingi yake na kuanza kupokea wala Rushwa, Mafisadi pamoja na matumizi Mabaya ya Ruzuku.
Patrobas Katambi: Wale walioongoza mapambano dhidi ya Ufisadi (Zitto, Dkt. Slaa, Kafulila etc) hawapo tena CHADEMA. Wale waliokuwa wakituhumiwa kwa ufisadi ndo wamehamia CHADEMA!
Rais Magufuli
Rais Magufuli: Mimi ninaamini sana vijana, mkiamua jambo mnaweza. Bahati mbaya sana kuna wachache mlipotezwa na watu flani flani hapa kati.
Rais Magufuli: Ningependa ieleweke, ujana pekee haukufanyi uwe hazina kwa chama au taifa. Ni lazima uwe mzalendo, mchapakazi, muadilifu na kadhalika > Hizo ndizo baadhi ya sifa za kijana
Rais Magufuli: Kijana ambaye ni fisadi, mvivu, mla rushwa, tapeli, mtumia dawa za kulevya na kadhalika, ana mchango mdogo kwa taifa - Nimeanza kueleza kwa kutaja sifa hizo za kijana kwa makusudi kabisa
ais Magufuli: UVCCM ya zamani sio sawa na hii ya sasa. Vijana wa sasa wanaenda kwenye mikutano wanapigana, wengine wanatoa rushwa. Ninapozungumza hapa tu Mwenyekiti wenu yupo Lock-up kwa kushikwa na Rushwa > Huo ndio umoja wa vijana tuliokuwa tunaenda nao
Rais Magufuli: Niwaeleze ukweli, vijana walinisaidia sana wakati wa kampeni lakini nashangaa nimekuwa nikiletewa majina ya wanaopendekezwa kwa nafasi mbalimbali, ila sikuletewa hata jina moja toka UVCCM!
Rais Magufuli: Mimi nasema ukweli hata Mungu ananisikia, sikutoa hata senti moja ili nichaguliwe > Nitashangaa sana kama mtamchagua Mwenyekiti aliyemwohonga.
Rais Magufuli: Kila mwenye uwezo kwenye umoja wa vijana, amewekewa vigingi vya kila aina, nawaomba wajumbe tuanzishe ukurasa mpya wa Umoja wa Vijana.
ais Magufuli: Vijana wa CCM naomba mjiamini. Muwe mnajibu hoja, msisubiri kuambiwa > Bahati nzuri mimi huwa nasoma, nimemuona Msando akitumia taaluma yake ya sheria kujibu hoja kuhusu Ibara ya 45 jana na sikumtuma

No comments:
Post a Comment