Mnyika: Sijajiuzulu nyadhifa zangu ndani ya Chadema. - KULUNZI FIKRA

Tuesday, 5 December 2017

Mnyika: Sijajiuzulu nyadhifa zangu ndani ya Chadema.

Mbunge wa Kibamba na Naibu katibu mkuu wa chadema Tanzania bara, Mhe John Mnyika amesema taarifa zinazosambazwa mitandaoni kwamba wamejiuzulu nafasi ya Naibu katibu mkuu wa chadema Tanzania bara hazina ukweli wowote juu yake.

Mhe Mnyika ambaye amekuwa akitajwa kwamba atakihama chama muda wowote ,Mhe Mnyika ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa taarifa iliyokuwa inasambaa mitandaoni kuwa wamejiuzulu wadhifa huo.

Akizungumza na kulunzifikra blog Jana Jumanne Desemba 5, Jioni kuwa kuna taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wamejiuzulu.
 Mhe Mnyika amesema, "Si kweli ni taarifa za uongo na uzushi

No comments:

Post a Comment

Popular