Katika bali isiyo ya kawaida, lakini Hall ya muungano mkono mshikamano, jana Chadema iliahirisha mkutano wake na waandishi wa habari kupisha tukio la kitaifa la kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru kwa Tanzania bara.
Sherehe za Uhuru huadhimishwa Desemba 9 kila mwaka na hudhuriwa na wananchi,viongozi wa serikali, vyama vya siasa pamoja na mabalozi was waliopo nchini wanaowakilisha nchi zao.
Kwa miaka kadhaa sasa baadhi ya viongozi wa upinzani hasa vyama vikubwa wamekuwa wakisusia sherehe hizo kutokana na msuguano wa kisiasa.
Juzi chadema ilitoa mwaliko kwa vyombo vya habari kwa jana wangetoa taarifa kuhusiana na maazimio ya kikao cha kamati kuu lakini haikuwa hivyo.
Katika bali isiyo ya kawaida mkutano huo ulifutwa na badala yake imetangazwa utafanyika leo.
Mkutano huo ulilenga kuzungumzia mambo kadhaa ya uchaguzi wa majimbo matatu ya Songea mjini (Mkoani Ruvuma), Singida Kaskazini (Mkoani Singida) na Longido mkoani Arusha.
Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imeyatangaza majimbo hayo matatu kuwa yako wazi.
Naibu katibu mkuu wa chadema upande wa visiwani Zanzibar, Salum Mwalimu aliambia kulunzifikra blog hii jana kuwa wameshindwa kufanya mkutano huo kwa sababu mbalimbali ikiwemo maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru kwa Tanzania bara.
"Kuna vitu havijakaa sawa tunaendelea kuvikamilisha na kesho (leo) tutazungumza na waanishi wa habari tukiwa tukiwa tumekamilisha kila kitu", alisema Salum Mwalimu huku akimtaka mwandishi kuwa mvumilivu kwani kila kitu kitajulikana lao kwa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa, Freeman Mbowe ndiye atakayezungumza.

No comments:
Post a Comment