Baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole kumtuhumu Mhe Zitto Kabwe kupotosha taarifa za CAG kuhusu kupotea kwa shilingi trilioni 1.5, kiongozi huyo wa ACT-Wazalendo ameibuka na kujibu mapigo.
Mhe Zitto kabwe ametumia mtandao wa Twitter kujibu tuhuma hizo za Polepole kwa kumwambia amekuwa Mwenyekiti wa PAC/POAC kwa miaka nane hivyo anafahamu kile anachokisema.
“Serikali ya CCM ilidhani Watanzania ni mandondocha,wanapelekwa pelekwa tu. Nimekuwa Mwenyekiti wa PAC/POAC kwa miaka 8. Ninajua ninachosema.” ameandika Mhe Zitto kabwe.
“Jumla ya TZS trilioni 1.5 hazina maelezo ya matumizi yake Katika mwaka 2016/17. Sitajibishana na Mwenezi wa CCM, yeye size yake @AdoShaibu,” ameongeza Mhe Zitto kabwe.

Huyu jamaa simuelewagi kabisaa!!!
ReplyDeleteHivi unaipenda Tanzania au unang'ata na kupuliza??.Mm zitto ata ukiongea kwa herufi kubwa bado nakuona ni mtanzania ulie vikwa taji lakibepali ungali umeshikilia bendera ya taifa letu.