Makonda aelezea Jinsi zoezi lake lilivopokelewa na kufanikiwa kwa kiwango... - KULUNZI FIKRA

Friday, 27 April 2018

Makonda aelezea Jinsi zoezi lake lilivopokelewa na kufanikiwa kwa kiwango...



Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda afunguka na kusema kuwa zoezi hilo limepokelewa vizuri na wananchi, kwani matokeo yamekuwa mazuri kuliko ilivyokuwa ikitarajiwa.




No comments:

Post a Comment

Popular