Naibu Waziri Mavunde alazwa hospitali ya Morogoro. - KULUNZI FIKRA

Sunday, 18 March 2018

Naibu Waziri Mavunde alazwa hospitali ya Morogoro.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Mhe  Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro akisumbuliwa na homa kali.

Akizungumza na kulunzifikra blog, Mhe  Mavunde amesema alipelekwa hospitalini hapo usiku wa kuamkia Leo Jumapili Machi 18, 2018 baada ya kujisikia vibaya.

No comments:

Post a Comment

Popular