Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, ameruhusiwa.
Ofisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo ameiambia kulunzifikra blog, Jana Jumatatu Februari 5, 2018 kuwa Mbowe ameruhusiwa baada ya madaktari kuridhishwa na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.
Habari zinasema jana alipofikishwa katika hospitali hiyo saa mbili usiku na madaktari walimwekea mashine ya kumsaidia kupumua.

No comments:
Post a Comment