Ndugu wa marehemu Akwilini wachangisha fedha kwaajili ya kukodisha magari. - KULUNZI FIKRA

Thursday 22 February 2018

Ndugu wa marehemu Akwilini wachangisha fedha kwaajili ya kukodisha magari.

 
Familia ya Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa NIT Akwilini Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha ili kukodi magari zaidi baada ya idadi ya watu wanaotaka kusafiri kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kuongezeka.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa kulunzifikra blog  Leo Frebuari 22, 2018, msemaji wa familia, Festo Kavishe amesema hali hiyo inatokana na magari mawili yaliyotolewa na serikali kujaa.

No comments:

Post a Comment

Popular