Mtulia Atimiza haki yake. - KULUNZI FIKRA

Friday 16 February 2018

Mtulia Atimiza haki yake.

 
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maulid Mtulia, amepiga kura asubuhi hii ya Feb. 17, 2018 katika kituo cha Friends Corner huko Kata ya Ndugumbi jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Popular