Diwani wa Peramiho (CCM) afariki dunia. - KULUNZI FIKRA

Saturday 24 February 2018

Diwani wa Peramiho (CCM) afariki dunia.

Mhe Isaac Mwimba, Diwani wa kata ya Peramiho (CCM) katika jimbo la Peramiho wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari.

No comments:

Post a Comment

Popular