Wema Sepetu aitosa chadema na kurudi CCM. - KULUNZI FIKRA

Friday, 1 December 2017

Wema Sepetu aitosa chadema na kurudi CCM.

 
 Muigizaji wa filamu za kibongo na Miss Tanzania Wema Sepetu ametangaza rasmi kurudi Chama Cha Mapinduzi huku akidai kwamba hawezi kuishi kwenye nyumba isiyokuwa maslahi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wema Sepetu amesema kwamba anatangaza rasmi kuondoka ndabi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambacho alitangaza kujiunga nacho Februari mwaka huu

"Siwezi Kuendelea kuishi kwenye nyumba inayo nikosesha amani... Peace of mind is everything for me. Natangaza rasmi kuondoka Chadema na kurudi nyumbani" .

No comments:

Post a Comment

Popular