Lema ahudhuria mazishi ya Mbwa. - KULUNZI FIKRA

Sunday, 3 December 2017

Lema ahudhuria mazishi ya Mbwa.

Mbunge wa Arusha mjini chadema Mhe Godbless Lema mapema leo asubuhi pamoja na Mhe Joshua Nassari na waombolezaji wengine wachache wamehudhulia mazishi ya mbwa aliyeuawa na majambazi waliovamia nyumbani kwa Mhe Nassari na kumuua mbwa huyo.

Mazishi ya mbwa huyo yamefanyika huko Arumeru nyumbani kwa Mhe Nassari, Mhe Nassari pia aliweza kumuombea mbwa huyo ili apumzike kwa amani.

"Nampa pole Mhe Nassari kwa kuondokewa na kamanda mbwa, maana alikuwa ni mlinzi mzuri sana na makini", alisema Mhe Lema.

No comments:

Post a Comment

Popular