Mwanza: Nyalandu ajiunga rasmi chadema leo. - KULUNZI FIKRA

Sunday, 19 November 2017

Mwanza: Nyalandu ajiunga rasmi chadema leo.

 Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amejiunga rasmi na CHADEMA leo katika mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea Udiwani wa Kata ya Mhandu Mkoani Mwanza.
Lazaro Nyalandu amekabidhiwa rasmi kadi yake ya uanachama leo na mwenyekiti wa chadema Taifa Mhe Freeman Mbowe.


No comments:

Post a Comment

Popular