Katibu wa chadema wilaya ya Arusha mjini amekamatwa na jeshi la polisi. - KULUNZI FIKRA

Saturday 4 November 2017

Katibu wa chadema wilaya ya Arusha mjini amekamatwa na jeshi la polisi.

 Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini Kisanyage Innocent dakika chache kabla ya kuwekwa lockup.

Innocent Amesema yeye alifika Kituo kikuu cha Polisi Arusha kwa ajili ya kufuatilia sakata la vijana wa chama hicho waliokamatwa kufuatia vurugu iliyotokea Jana ambapo imedaiwa msafara wa CCM na CHADEMA. ulikutana na hivyo kupelekea vurugu ambayo pia ilipelekea kudaiwa kupigwa Mgombea wa CCM.

Baada ya kutokea vurugu hiyo walikamatwa vijana wa CHADEMA, pamoja gari la CHADEMA lilokuwa likitumika kwa Matangazo.

No comments:

Post a Comment

Popular