Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema Lema amezindua Kampeni za Udiwani Kata ya Muriet na kamtambulisha Simon Moleli kuwa mgombea kupitia CHADEMA.
Katika mkutano Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameongelea mambo yanaendelea nchini ikiwepo uonevu unaofanywa na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa kwa Katibu wa Mbunge pamoja na wanachama wa Chadema jana .
No comments:
Post a Comment