Rais Magufuli ameshafika uwanja wa ndege jijini hapa akiongozana na Mkwe mama Janeth Magufuli, na napokelewa na Mwenyeji wake mkuu wa mkoa, bwana John Mongela.
Pia yupo waziri wa viwanda Mhe. Charles Mwijage
> Rais Magufuli atatoka uwanjani hapa na kwenda Moja kwa moja hadi eneo la Furahisha ili kuzindua daraja la waenda kwa miguu.
> Rais Magufuli ameshawasili katika eneo la Furahisha kwa ajili ya kuzindua daraja hilo. Amepokelewa na ngoma za asili hapa
>Bwana John Mongella akimkaribisha rais Magufuli katika eneo hilo la Furahisha anasema "Daraja hili la Furahisha ni moja ya kitambulisho chao cha mkoa na kusema watu mbalimbali wanaenda na wataenda kupiga piga kwenye daraja hilo"
Rais magufuli anaanza kuongea;
Kwanza kama ilivyo ada anaanza kwa kuwatambua viongozi mbalimbali waliopo hapa leo.
Ndugu zangu nasema leo nina furaha kama jina la daraja kwa sababu mimi natambua historia ya eneo hili. Eneo hili lilikuwa linatambulika kama blackspot kwa sababu ya ajali nyingi sana kutokea hapa
Nakumbuka wakati naomba kura nilisema nitatengeneza daraja la Furahisha. Wananchi mkasema haiwezekani, nikasema itawezekana. Nashukuru wananchi wa Mwanza ka kutuamini
Wananchi sisi wote kama madiwani na wabunge na mimi kama kiobgozi wenu tutafanya kazi kweli kweli na kuijenga Mwanza
Nilivyokuwa waziri wa ujenzi kwa kushirikiana na Mkuu wa mkoa tulifunja nyumba ili kutanua barabara, leo naona mmevunja nyumba ya Madaraka. hongereni sana maana ilikuwa sehemu ya wazi. Pia hongereni kwa kuvunja nyumba ya CCM amabayo ilikuwa kwenye sehemu ya road reserve. Na mimi nilijivunjia ukuta wa nyumba yangu pale Solomoni Nassor. Wakaandika waziri ajivunjia ukuta
Nilipozuia sherehe za Mapinduzi watu walisema sipendi hata mapinduzi lakini nikasema mimi ni rais na nimeamua kutuma fedha hizo kutengeneza Mwanza na zile za uhuru zilijenga Dar es Salaam. Inaweza tokea sherehe nyingine nikasema fedha hizo zikajenge sehemu nyingine
Sidhani kama kuna daraja kama hili sehemu yoyote ya Tanzania, daraja linajiwasha tu taa lenyewe na ndugu zangu wa Mwanza mtafungia ndoa hapo
Ndugu zangu naomba mlitunze daraja hili, kwanza linaonyesha picha ya samaki hata aliyetengeneza daraja hili anakula samaki
Mwanza ya miaka ya nyuma si miaka hii mwanza inabadilika, mimi na viongozi wenzangu tunataka kuibadilisha mwanza, ndio maana tumetanua barabara hii. Kwa sasa kunakazi ya kutanua uwanja wa Mwanza, ndege zote za International nataka zitue Mwanza.
Leo nimeambiwa kuwa kandarasi alikuwa anashida ya fedha kidogo bilioni 9. Mwaziri mwambie mkandarasa atapata fedha yake wiki hii na nataka uwanja huo ukamilike ndani ya muda wangu kuisha. Usipo malizika yeye ndio atamalizika hapo hapo
Mbali ya kuendeleza sekta ya usafirishaji wana Mwanza mnafahamu kuwa tunajenga reli ya standard Gauge inayotoka Dar kuja Mwanza itaenda Rwanda mpaka Burundi Mpaka kigoma. Tunaijenga kwa fedha zetu bila kukopa.
Kwenye Ziwa Victoria tutanunua meli kubwa itakayochukua watu zaidi ya 1200 na tani nyingi zaidi. Tutafanya ukarabati wa meli za Mv. Victoria ili kuondoa shida ya usafiri
Tunafanya pia ukarabati wa meli nyingine kule Kigoma [Mv. Lyemba] ili zirudi katika hali yake mpya. Tukiwa na Meli hapa itakuwa inaenda Bukoba hadi Musoma
Tumeanza mikakati ya kutengeneza barabara kwa kiwango cha lami, barabara toka Usagara kwenda Kisesa imekamilika kwa asilimia 80% kwa kiwango cha lami
Daraja la Busisi hadi Kigogo usanifu umeshaanza, utengenezaji unawezekana. Kila kitu kipya huwa ni miujiza hata niliposema mtu anaweza kutoka Mtwara mpaka Mwanza kwa kutumia lami watu walidhani nimuujiza ila leo imewezekana
Palikuwa na Mabango pale wasidhani sijayasoma nimeyasoma, kuna moja lilikuwa linahusu watu walijenga eneo Kidoto na Muhonze wameambiwa wamevamia eneo la uwanja wa ndege na eneo la jeshi. Hivyo wameambiwa waondoke. Hili mimi natakiwa nilifanyie uchambuzi kwanza. Niwaombe viongozi wasiwabomboleshe kwanza hawa watu mpaka nitakapotoa neno.
Hawa watu wa Kidoto na Muhonze ndio wamenipa urais na kwa vile serikali yangu ina huruma na kwa mujibu wa sheria namba 4 ya mwaka 1999 na ya vijiji namba 5 ya mwaka 1999 na kwa mijibu wa sheria ya mipango miji na matumizi bora ya ardhi ya mwaka 2007 ardhi zote msimamizi wake ni rais nasema wasiwabomoleshe kwanza. Waziri wa ardhi na viongozi wa chama (CCM) na wakuu wa mikoa mkae wiki ijayo mtoe mapendekezo. Yapo maeneo ambayo lazima watu wahame kama wale amabo wapo ndani ya airport.
Niwaombe watu wa Mwanza mlinde daraja hili msipitishe pikipiki pale. Pia litatumika kama Kivutio sio lazima muende airport
[Huku akimuita mbunge fulani wa CUF aliyepo hapa]. Huyu ni mbunge wa CUF anatoka Lindi, naomba nimpongeze sana. Hizi ndivyo siasa za tanzania zinatakiwa ziwe. Sehemu ya kupongeza pongeza sio unapinga tu huo unakuwa ni uzito wa mawazo fulani kichwani. Hata sisi tunawapongeza CUF kwa mambo ya maendeleo mfanyabiashara.
>Rais Magufuli amesha zingua daraja hili kwa kutata utepe na anaondoka endeo hili ka Furahisha. Rais magufuli anaenda kuzindua kiwanda cha Mwatex kilichopo Nyakato

No comments:
Post a Comment