Akizungumza jijini Mbeya wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari ya St. Malcus, Mama Kikwete aliwataka wasichana kuacha tabia ya ‘kufungua mapaja’ ili kukwepa mimba.
Alisisitiza mara nyingi wanaume hao wanaofungulia mapaja huwa hawana malengo ya kuwaoa bali kuwapachika mimba na kuharibiwa ndoto zao za kuendelea na masomo.
Alisema takwimu zinaonyesha Mkoa wa Mbeya una kiwango kikubwa cha wasichana kupachikwa mimba na kuacha shule, ambapo alisema kuanzia Januari mwaka huu hadi Septemba wasichana 76 waliachishwa shule kwa sababu ya kupata ujauzito.
Aliwataka mafataki kuacha tabia ya kuwamendea watoto wa wenzao na kuwaharibia maisha akisema hivi sasa sheria za nchi ziko wazi kuwa ikibainika mwanaume amempachika mimba mwanafunzi, lazima mtu afungwe jela miaka 30.

No comments:
Post a Comment